RC Mko wa Mara Dk Charles Mlingwa akiongea na maafisa watendaji wa vijiji,kata ,wenyeviti wa vijiji,maafisa tarafa,viongozi wa Vyama vya Siasa ,Viongozi wa dini na wakuu wa idara wilaya ya Serengeti kwenye Ukumbi wa kanisa Katoliki Mugumu,ambapo aliwashangaa maafisa kilimo kuvaa tai wakati ni watu wa Field,amewataka wawe mawakala wa mabadiliko.
Dc Serengeti akielezea mikakati ya wilaya kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa kuzungumza na watendaji mbalimbali.
Wanafuatilia maelekezo ya Mkuu wa Mkoa
Wanafuatilia
0 comments:
Post a Comment