Fahari ya Serengeti

Thursday, February 16, 2017

TIMU YA RIADHA MKOA WA MARA YAAHIDI MAKUBWA MBIO ZA NYIKA MOSHI


 Timu ya Riadha ya Mkoa wa Mara imeondoka leo kutoka wilayani Serengeti ilikokuwa imepiga kambi kuelekea Moshi Kilimanjaro kushiriki mashindano ya Mbio za Nyika yanayoshirikisha mikoa yote ya Bara na Visiwani,na kufuatiwa na kuunda timu ya Taifa ambayo itashiriki mashindano ya Olimpiki Nchini Uganda mwezi machi mwaka huu,
 Viongozi mbalimbali wamejitokeza kuaga timu ikiwemo wa dini ambao waliwaombea.
 Wakisikiliza mawaidha kutoka kwa viongozi mbalimbali.

 Wamasikiliza.

 Mkuu wa wilaya Nirdin Babu akiwa na viongozi wa serikali na dini wakitoa mawaidha kwa wanariadha 14 waliokwenda kuwakilisha mkoa ,Serengeti ikiwa imetoa wakimbiaji 10,wanne wakitokea Bunda na Tarime.
 Padri Alois Magabe akiwaombea.
 Wanaomba dua kwa ajili ya safari yao.
 Mungu anapewa sifa
 Mmoja mmoja aliombewa kama inavyoonekana hapo .



 Picha ya pamoja ilipigwa.

 wakiwa wametulia ndani ya gari kwa ajili ya safari,
 Timu ya ushindi hiyo.
Maombi maombi

0 comments:

Post a Comment