Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akitoa nasaha kwa madreva wa vyombo vya moto baada ya kufuzu mafunzo awamu ya kwanza yaliyoendeshwa na Future World Institute kwenye bwalo la Polisi Mugumu,jumla ya madreva 175 kati yao wanawake wakiwa 10 wamefuzu mafunzo.
Wanajitambulisha.
Wanafuatilia maelezo kutoka kwa viongozi.
Kamanda wa Usalama barabarani wilayani akitoa maelezo.
Ocd Mathew Mgema akielezea umuhimu wa kuzingatia sheria za usalama barabarani.
Vyeti vilitolewa kwa wahitimu .
Askofu na wachungaji walikuwa miongoni mwa waliohitimu mafunzo.
0 comments:
Post a Comment