Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila akiendesha ibada wakati wa Izinduzi wa Jubilei ya Miaka 400 ya Shirika la Masista wa shirika la Mabinti wa Upendo Parokia ya Issenye wilayani Serengeti,shirika hilo lenye makao makuu Ufaransa liko katika mataifa mbalimbali hapa duniani na miongoni mwa kazi zao ni kuhudumia maskini.
Wakati wa kuingia kanisani.
Wanakwaya wa Natta wakimsifu Mungu kwa njia ya nyimbo
Watoto walipamba sherehe hiyo
Chakula kilikuwepo kama inavyoonekana
Paroko wa Parokia ya Issenye Kenedy Gurusha
0 comments:
Post a Comment