Fahari ya Serengeti

Saturday, February 18, 2017

MOTO WATEKETEZA SENTA YA KANISA LA KKKT MUGUMU SERENGETI

 Jengo lenye vyumba tisa ikiwemo duka,darasa la awali na vyumba vya kulala wageni la Senta ya KKKT Mjini Mugumu wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wakati likiteketa kwa moto uliozuka ghafla usiku .
 Hali ya majengo baada ya kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadaiwa ni nyanya za umeme walizokuwa wameunganisha kinyamera kwenye chumba cha duka kutoka eneo lingine ,

 Wanashangaa






 Mkuu wa wilaya katika eneo la tukio.

Baadhi ya wanafunzi waliokuwa wakitumia vyumba vya madarasa wakiwa katika eneo la tukio.

0 comments:

Post a Comment