Fahari ya Serengeti

Wednesday, February 15, 2017

TANAPA YATOA MSAADA WA SH 70 MIL SEKTA YA ELIMU SERENGETI.

 Mhifadhi Mkuu wa Senapa William Mwakilema kulia akimkabidhi Dc Serengeti Nurdin Babu madawati 778 yenye thamani ya sh 50 mil kwa ajili ya shule za Msingi .
 Mhifadhi Mkuu Senapa kulia akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu thamani za ofisi kwa ajili ya sekondari ya Robanda,shirika hilo limetoa vifaa vyenye thamani ya sh 20 mil ,msaada kwa shule za Msingi na sekondari ukiwa na jumla ya sh 70 mil.
 Viongozi mbalimbali wa wilaya ya Serengeti na Hifadhi ya Senapa wakiwa katika Picha ya Pamoja kabla ya kukabidhi madawati 778 yenye thamani ya sh 50 mil.

 Wakiwa katika kikao cha makabidhiano sekondari ya Robanda.

 Pongezi toka kwa Mkuu wa wilaya Nurdin Babu kushoto zilimiminika kama inavyoonekana akiwa amemshika mkono Mhifadhi wa Senapa.
 Madawati.

 Mhifadhi Mkuu wa Senapa William Mwakilema akikabidhi vitanda kwa ajili ya bweni la wasichana Robanda sekondari.


 Akikabidhi magodoro.
 Akikabidhi kabati



 Ded Serengeti Mhandisi Juma Hamsini akielezea mikakati mbalimbali waliyonayo ya kutatua changamoto za elimu wilayani humo.


0 comments:

Post a Comment