Fahari ya Serengeti

Tuesday, February 28, 2017

ILI KUHARAKISHA MAENDELEO MADIWANI KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA WATAALAM


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini akifungua kikao cha kawaida cha baraza ambapo amesisitiza kufanya kazi kwa kushirikiana kati ya wataalam na madiwani ili kugarakisha maendeleo.
Makarani wa kikao cha baraza la madiwani wakiendelea na kazi zao.
Kikao kinaendelea.
Madiwani wakipitia nyaraka mbalimbali.
Wanaendelea na kikao
Uchangiaji hoja unaendelea
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba akielezea mikakati mbalimbali aliyoifanya na anayotarajia kufanya ambayo itashirikisha madiwani kwa ajili ya kusaidia kusukuma mbele maendeleo ya wilaya hiyo.

0 comments:

Post a Comment