Fahari ya Serengeti

Tuesday, September 27, 2016

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MADAWATI ROBANDA

Benki ya Posta Tanzania yasaidia meza na viti shule ya sekondari inayojengwa katika kijiji cha  Robanda wilayani Serengeti ambayo inatarajiwa kufunguliwa mwaka kesho Afisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Sebastian Moshingi akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Serengeti...

KITUO CHAADHIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA

MENEJA MRADI WA TOKOMEZA UKEKETAJI WILAYA GODFREY MATUMU AKIMLISHA KEKI MKURUGENZI WA UTETEZI WA LHRC ANNA HENGA KEKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 21 YA KITUO HAFLA ILIYOFANYIKA ANITA MOTEL MUGUMU SERENGETI NA KUHUDHURIWA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWEMO ASKARI POLISI.  Wanafuatilia  Anna...

Saturday, September 24, 2016

MAKAMANDA WA POLISI WAENDELEA KUPATA DOZI YA ATHARI ZA UKEKETAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

 Makamanda wa polisi  Serengeti wanaohudhuria  semina ya athari ya ukeketaji na ukatili wa kijinsia chini ya Mradi wa Tokomeza ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na amref health afrika na LHRC wakiwa na wawezeshaji katika picha ya pamoja .  Kamanda Abdallah...

Friday, September 23, 2016

POLISI SERENGETI WASHIRIKI MAFUNZO YA ATHARI ZA UKATILI WA KIJINSIA HASA UKEKETAJI

William Mtwazi afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na Amref health africa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)akitoa malengo ya mradi kwa askari polisi wa wilaya ya Serengeti ambao wanashiriki mafunzo juu athari za ukeketaji kwa watoto wa kike...