Fahari ya Serengeti

Tuesday, May 1, 2018

WENGI WAJITOKEZA KUMPOKEA JAJI MAGOIGA NYUMBANI

 Jaji Stephen ,Mrimi Magoiga kulia akisaliamiana na baadhi ya ndugu na marafiki waliojitokeza kumpokea wakati anaingia Mugumu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa ajili ya kusalimia ndugu zake ikiwa ni mara ya kwanza kuteuliwa na kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu hivi  karibuni,.
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji alikuwa ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kishapu,kitaaluma alikuwa ni Wakili wa Mahakama kuu.
 Pongezinyingi zimetolewa.
 Anaongea na wadau mbalimbali waliojitokeza kumpokea eneo la Serengeti Sekondari kisha wakamsindikiza kuingia mjini kwa ajili ya mapumziko.

 Jaji Magoiga akiwa na baadhi ya marafiki na ndugu zake mara baada ya kuwasili nyumbani kwa kaka yake Paulo Magoiga mtaa wa Chamoto.
 Picha mbalimbali zikapigwa
 Ni pongezi kila kona
 Picha zinapigwa
 Picha za pamoja kwa makundi mbalimbali



0 comments:

Post a Comment