Fahari ya Serengeti

Tuesday, May 15, 2018

WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA USAFI WA MAZINGIRA

 Mwakilishi wa afisa mradi wa Usafi kwa Afya toka amref health tanzania William Mtwazi akijadiliana na wanafunzi wa shule ya msingi Kebosongo kata ya Kisangura wilaya ya Serengeti juu ya usafi wa mazingira,wanafunzi hao wamekuwa chachu ya mabadiliko kwa wazazi wao kwa kujenga vyoo bora.
 Mtwazi na wanafunzi wakiangalia choo kilichojengwa na mradi huo.
 Anatoa ufafanuzi


 Jane Mwakalila akitoa mada

 wanajadiliana






0 comments:

Post a Comment