Fahari ya Serengeti

Friday, May 4, 2018

WADAU WAJITOKEZA KUNUSURU BONDE LA MTO MARA

 Mwanafunzi wa shule ya Msingi Marasomoche kata ya Nyansurura wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara akipanda mti eneo la shule ikiwa ni utelekelezaji wa mikakati ya utunzaji wa Mazingira katika bonde la mto Mara ambalo linakabiliwa na uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na shughuli za Kibinadami ikiwemo kilimo,kuchoma mkaa ,kuni na mifugo.

Asasi ya Tumaini Jema kwa kushirikiana na wadau wengine wamedhamiria kupanda miti 10,000 katika eneo hilo ili kuhakikisha uoto wa asili unarejea pamoja na kulinda kingo za mto huo muhimu kwa nchi za Tanzania na Kenya.
 Das Serengeti Cosmas Qamara akipanda mti
 Wanaangalia kitalu
 Upandaji unaendelea



 Msisitizo mkubwa unatolewa kuhakikisha mazingiran yanatunzwa
 Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Serengeti Helda kulia akisalimia na ofisa mtendaji wa kata ya Nyansurura Neema Binagi.

 Wanachama wa Malihai wakishiriki kupanda miti



0 comments:

Post a Comment