Fahari ya Serengeti

Wednesday, May 9, 2018

SHULE ZILIZOFANYA VIZURI SERENGETI ZATUNUKIWA TUZO

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini akitoa tuzo na cheti kwa baadhi ya shule zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba mwaka 2016,tuzo hizo zimetolewa na wizara ya elimu kwa kutambua ushindi wao.
 Mapinduzi B nao wakatunukiwa
 Pamoja na tuzo idara ya elimu imetupiwa lawama kwa kushindwa kugawa walimu kulingana na mahitaji ambapo shule za mjini zina walimu wengi wanafunzi wachache lakini za vijijini zina wanafunzi wengi walimu wachache.
 Msisitizo ukatolewa

 Madiwani wakiendelea na kikao
 Hongera sana
 Nasi tumo
 Kaimu ofisa elimu msingi wilaya Hawamu Tambwe akielezea sababu za shule hizo kupewa tuzo.

 Majimoto nasi tumo
Tuzo za shule ziliwaibua madiwani wa kata husika kama inavyoonekana.

0 comments:

Post a Comment