Wakati msimu wa pamba mkoa wa Mara ukizinduliwa mei 8 mwaka huu mkuu wa mkoa huo Adamu Malima ameendelea kutembelea mashamba ya pamba wilaya ya Serengeti na kuhimiza uundwaji wa ushirika
Akikagua shamba katika kijiji cha Singisi wilaya ya Serengeti
Hapa kazi tu hata kama ni jioni
Ukaguzi unaendelea
0 comments:
Post a Comment