Ili kutengeneza wanasayansi wazuri halmashauri ya wilaya ya Serengeti imewekeza fedha nyingi katika kuboresha maabara kwa shule za sekondari.
Ukaguzi unaendelea ili kuhakikisha ukamilishaji wa kazi hiyo unafanyika kwa wakati na wanafunzi watakapofungua julai wakute maabara ziko tayari na vifaa vyake.
Ufuatiliaji.
Ukaguzi unaendelea
0 comments:
Post a Comment