Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini akifungua kikao cha kawaida cha baraza ambapo amesisitiza kufanya kazi kwa kushirikiana kati ya wataalam na madiwani ili kugarakisha maendeleo.
Makarani wa kikao cha baraza la madiwani wakiendelea na kazi...
Tuesday, February 28, 2017
Friday, February 24, 2017
HALMASHAURI YASAINI MIKATABA NA MAKANDARASI WA BARABARA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Porini Kulia ,kushoto Mwanasheria wa halmashauri Wakili Maganiko Msabi wakati wa zoezi la kusaini mikataba ya ujenzi wa barabara na ukusanyaji ushuru.
Mwenyekiti...
Monday, February 20, 2017
ASKOFU JIMBO KATOLIKI MUSOMA AZINDUA JUBILEI YA MIAKA 400 YA SHIRIKA LA MASISTA WA MABINTI WA UPENDO.
Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila akiendesha ibada wakati wa Izinduzi wa Jubilei ya Miaka 400 ya Shirika la Masista wa shirika la Mabinti wa Upendo Parokia ya Issenye wilayani Serengeti,shirika hilo lenye makao makuu Ufaransa liko katika mataifa mbalimbali...
Saturday, February 18, 2017
MOTO WATEKETEZA SENTA YA KANISA LA KKKT MUGUMU SERENGETI
Jengo lenye vyumba tisa ikiwemo duka,darasa la awali na vyumba vya kulala wageni la Senta ya KKKT Mjini Mugumu wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wakati likiteketa kwa moto uliozuka ghafla usiku .
Hali ya majengo baada ya kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadaiwa...