Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Merenga wilaya ya Serengeti wakimstiri Neema aliyeuawa na mpenzi wake kutoka na wivu wa mapenzi.
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Suzana ambaye alikuwa amemuoa Neema ndoa ya Nyumbanthobu.
Suzana aliyekuwa amemuoa Neema ndoa ya Nyumbathobu...
Thursday, May 31, 2018
Thursday, May 24, 2018
WANAFUNZI SEKONDARI NYAMBURETI WATOA YAMOYONI
Ded Serengeti Juma Hamsini akijadiliana na wanafunzi wa sekondari ya Nyambureti juu ya changamoto zinazowakabili na mikakati ya halmashauri katika sekta ya elimu.
Anasisitiza wanafunzi hao kusoma na kuachana na mambo yanayowafanya washindwe kufikia matarajio yao na halmashauri...
UKAGUZI MAABARA ZA KISASA SEKONDARY
Ili kutengeneza wanasayansi wazuri halmashauri ya wilaya ya Serengeti imewekeza fedha nyingi katika kuboresha maabara kwa shule za sekondari.
Ukaguzi unaendelea ili kuhakikisha ukamilishaji wa kazi hiyo unafanyika kwa wakati na wanafunzi watakapofungua julai wakute maabara...
Wednesday, May 16, 2018
USAFI KWA AFYA WAPUNGUZA MAGONJWA KWA WANAFUNZI MBIRIKIRI
Ofisa Michezo wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mayige Makoye akiongea na wanafunzi wa shule ya Msingi Mbirikiri kata ya Sedeko juu ya kutumia michezo kupeleka ujumbe kwa jamii Usafi kwa Afya ili kuhakikisha wanapiga vita magonjwa yanayosababishwa na uchafu.
Usafi kwa Afya...
Tuesday, May 15, 2018
VIBUYU MCHIRIZI VYAIMARISHA USAFI SHULE ZA MSINGI
Walimu,wazazi na baadhi ya maafisa wa Mradi wa Usafi kwa Afya unaotekelezwa na amref health tanzania wakiangalia kibuyu mchirizi katika shule ya Msingi Tabora B wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara ambavyo vimesaidia kuimarisha usafi wa wanafunzi watokapo chooni.
Mwalimu...