Wazee wa mila wa koo ya Inchugu wilayani Serengeti wakiwa katika picha ya Pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali ,taasisi za dini chini ya Mkuu wa wilaya hiyo Nurdin Babu katika ukumbi wa Anita Motel ,ambapo wazee hao wanaendelea na mafunzo ya athari ya ukeketaji na Ukatili wa Kijinsia yanayoendeshwa na Mradi wa Tokomeza Ukeketaji unaotekelezwa na Amref health africa Tanzania na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)kwa ufadhili wa UN WOMEN.
Mganga mkuu wa wilaya ya Serengeti Salum Manyatta akiangalia kazi za vikundi wakati wa mafunzo ya wazee wa mila ya koo ya Inchugu juu ya Athari ya Ukeketaji.
Wazee wa mila wa koo ya Inchugu wakifuatilia mafunzo.
Meneja Mradi wa Tokomeza UKEKETAJI Serengeti Godfrey Matumu akitoa ufafanuzi wa malengo ya Mradi kwa wazee wa mila wa koo ya Inchugu wakati wa mafunzo ya athari ya Ukeketaji
Wanasikiliza.
Mada imewaingia wazee wanatafakari.
Ufafanuzi
Mwenyekiti wa mila kutoka Ngarawani
Meneja akisalimiana na mzee wa Mila Mwita Taimaha wa Machochwe.
Wazee wanatoa maoni yao.
Unanielewa ukeketaji utakomeshwa ,mzee anasisitiza.
Mada zinaendelea kutolewa
Mada za Haki za Binadamu zinatolewa
Dc Nurdin Babu akisisitiza jambo kwa wazee wa mila waachane na ukeketaji.
Ocd Mathew Mgema akitoa ufafanuzi kwa wazee wa mila akiwataka kuachana na vitendo vya ukeketaji ni uvunjifu wa sheria.
Katibu tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara akieleza athari za ukeketaji kwa watoto wa kike.
0 comments:
Post a Comment