Thursday, October 13, 2016
Home »
» FAINALI YA NYERERE CUP KUWAKUTANISHA MAGETA FC NA SMARTBOYS FC UWANJA WA SOKOINE MUGUMU SERENGETI.
FAINALI YA NYERERE CUP KUWAKUTANISHA MAGETA FC NA SMARTBOYS FC UWANJA WA SOKOINE MUGUMU SERENGETI.
F
Fainali ya Nyerere Cup inayoshirikisha vijana wa chini ya Umri wa Miaka 17 kuzikutanisha timu hasimu mjini Mugumu Mageta Fc na Smartboys maarufu kama Chamoto Uwanja wa Sokoine Oktoba 14 majira ya saa kumi,Mgeni Rasmi mkuu wa wilaya Nurdin Babu,
mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu ni kati ya Polisi Fc na Bomani ,pia kutakuwa na Mchezo wa mpira wa Miguu kwa wanawake ,na burudani nyingine.
Mashindano hayo yameandaliwa na Serengeti Media Centre ,Mageta na Rhobi Magoiga lengo likiwa ni kuibua vipaji na kuwawezesha timu ya wataalam kuchagua timu ya wilaya.
0 comments:
Post a Comment