...
Monday, October 31, 2016
GRUMETI YAMWAGA MISAADA SERENGETI NA BUNDA
Mkurugenzi wa Singita Grumeti Stephen Cunliffe(kulia)akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa msaada wa madawati 500 na Nyumbaya Mwalimu shule ya Msingi Makundusi vyote vikiwa na Thamani ya sh.198,160,970 kwa ajili ya wilaya za Serengeti na Bunda...
Monday, October 24, 2016
WAZEE WA INCHUGU WASEMA UKEKETAJI BASI
Wazee wa mila wa koo ya Inchugu wilayani Serengeti wakiwa katika picha ya Pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali ,taasisi za dini chini ya Mkuu wa wilaya hiyo Nurdin Babu katika ukumbi wa Anita Motel ,ambapo wazee hao wanaendelea na mafunzo ya athari ya ukeketaji...