Mtoto aliyejeruhiwa na Nyati katika kijiji cha Nyamisingisi wilayani Serengeti Mkoa wa Mara akiwapokelewa katika hospitali Teule ya Nyerere kwa ajili ya matibabu,nyati huyo amejeruhi watu saba na kati yao wanne hali zao si nzuri.
Makeruhi wakiendelea kupokelewa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Miongoni mwa majeruhi.
Wanapelekwa kwa daktari kwa ajili ya matibabu.
Monday, June 5, 2017
Home »
» WALIOJERUHIWA NA NYATI NYAMISINGISI SERENGETI WAFIKISHWA HOSPITALI YA WILAYA
0 comments:
Post a Comment