Wakili Hamisi Mkindi wa LHRC akitoa mada wakati wa mafunzo ya Kampeini Kuondoa Ukeketaji Tanzania kwa mahakimu,maafisa wa Polisi na Watendaji wa Halmashauri Mkoa wa Mara ukumbi wa Giraffe Mugumu Serengeti.
Wanafuatilia mada
Mada zinaendelea kutolewa.
Ana mwaga sera
Washiriki toka wilaya za Musoma ,Tarime na Serengeti wakifuatilia mada
Wawaweshaji kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)
Picha ya Pamoja ilipigwa
Thursday, June 8, 2017
Home »
» KAMPEINI KUONDOA UKEKETAJI TANZANIA YATUA KWA MAHAKIMU,POLISI NA WATENDAJI WA HALMASHAURI MARA
0 comments:
Post a Comment