Meneja wa Mradi wa Tokomeza Ukeketaji umnaotekelezwa na Amref health afrika Tanzania kwa kushirikiana na Kituo ca Sheria na Haki za Binadamu Godfrey Matumu akitoa elimu kwa wakazi wa kijiji cha Kenokwe kata ya Mosongo wilayani Serengeti athari za ukeketaji.
Wanapata elimu Wasanii nao wakielimisha kwa njia ya sanaa
William Mtwazi ni Mwanasheria toka LHRC ambaye pia ni afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti akitoa ufafanuzi wa vifungu vya sheria kwa wanaojihusisha na ukeketaji kuwa ni kinyume na Kanuni ya Adhabu Namba 169(A)na sheria ya Mtoto Namba 21 ya mwaka 2009.
Kiongozi wa Saiga Konokwe akitoa maelezo kwa wanasaiga wenzake kuachana na ukeketaji.
Elimu ,walipo imewafikia.
Wasanii hawakubaki nyuma
0 comments:
Post a Comment