Baadhi ya wanavikundi vya vijana na wanawake kutoka maeneo mbalimbali wilayani Serengeti wakiwa kwenye mafunzo ya namna ya matumizi ya fedha za mikopo ambayo inatokana na asilimia tano ya makusanyo.
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti kupitia makusanyo yake ya ndani imetoa...
Saturday, June 24, 2017
Thursday, June 22, 2017
KUIMARISHA UTAFITI SINGITA GRUMETI FUND WATOA GARI KWA TAWIRI
Afisa Mahusiano Msaidizi wa Kampuni ya Singita Grumeti Fund David Mwakipesile kulia akiwa ameshikana mkono na Profesa Todd Michael Anderson kutoka Wake Forest University Kitengo cha Baolojia Winston -Salem ambaye ni mmoja wa watafiti Katika Kituo cha watafiti wa Wanyamapori...
Friday, June 16, 2017
WATOTO SERENGETI WALIA NA MILA KANDAMIZI
Watoto wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kulaani mila kandamizi wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wakati wa maandamano ya siku ya mtoto Afrika iliyofanyika kiwilaya
viwanja vya shule ya msingi Mugumu B,
Wanafuatilia michezo na nasaha mbalimbali kutoka kwa...