Monday, May 1, 2017
Home »
» SERENGETI YAPONGEZWA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MEI MOSI MKOA WA MARA
SERENGETI YAPONGEZWA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MEI MOSI MKOA WA MARA
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa akimkabidhi Mlelema kutoka idara ya Mipango halmashauri ya wilaya ya Serengeti cheti na hundi ya sh 500,000 baada ya kuibuka mfanyakazi bora.
Maandamano yamepambwa na vikundi mbalimbali.
Dc Serengeti Nurdin Babu katikati mwenyeji wa maadhimisho hayo kimkoa,kulia Rc Mlingwa
Rc Mlingwa akikagua banda la Serengeti Arts na kupata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa kikundi hicho Paulina Boma kulia ,katikati ni mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu.
Rc Mlingwa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Adamu Magara ni miongoni mwa wafanyakazi bora kutoka mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu.
Wanafuatilia
Hongera sana Devota Makondo kwa kuwa mfanyakazi bora toka Ikona Wmas na kupata cheti na sh 1 milioni
ni miongoni mwa wafanyakazi bora
Rc Dk Mlingwa akoshwa na maandalizi mazuri ya maadhimisho hayo wilayani Serengeti
0 comments:
Post a Comment