Fahari ya Serengeti

Friday, May 12, 2017

BIASHARA YA MKAA YAZIDI KUSHAMIRI

 Biashara ya mkaa inazidi kushamiri katika mji wa Mugumu wilayani Serengeti,mfuko mmoja huuzwa kati ya sh 5,000-6,000 ,hapo anatarajia kupata kati ya sh 40,000-48,0000

 Anasaka soko katika mji wa Mugumu.





0 comments:

Post a Comment