Fahari ya Serengeti

Monday, May 1, 2017

BURUDANI MBALIMBALI ZIMEPAMBA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA SERENGETI.

 Burudani mbalimbali zimepamba maadhimisho ya siku ya Mei Mosi kimkoa wilayani Serengeti,msanii huyo ni mstaafu wa jeshi la magereza ambaye anazidi kuonyesha karama yake,ama hakika ujuzi hauzeeki.
 Burudani zilikuwa za kutosha
 Budagara na kikundi chake wamewakonga nyoyo wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo.

 Burudani burudani.


 Msanii kutoka Futuhi naye amekuwa kivutio kikubwa.


 Serengeti imevunja rekodi kwa maandalizi ya maadhimisho ya Mei mosi.



0 comments:

Post a Comment