Mwenyekiti wa UWT Taifa Gaudensia Kabaka akipanda mti katika hospitali ya wilaya ya Serengeti wakazi wa ziara yake ya kukagua shughuli za ujenzi na kushiriki katika kutekeleza kauli mbiu ya Jenga Hospitali kwa sh 1000.
Upandaji wa miti katika hospitali hiyo kunalenga kuandaa mazingira mazuru kabla ya kufunguliwa mwishoni mwa mwezi mei mwaka huu kwa ajili ya kutoa huduma kwa akina mama na watoto.
Utunzaji mazingira
0 comments:
Post a Comment