Mwenyekiti wa UWT Taifa Gaudensia Kabaka akiwa na viongozi mbalimbali wa wilaya ya Serengeti na Mkoa wa Mara wakati anakagua Ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara inayojengwa na nguvu za wananchi na wadau mbalimbali kupitia kampeini ya Jenga Hospitali kwa sh 1000.
Mwenyekiti UWT Taifa Gaudensia Kabala akikaribishwa ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Serengeti
Dc Serengeti Nurdin Babu akiongozana na Mwenyekiti Uwt Taifa Gaudensia Kabaka huku akimwelezea jinsi wanavyotekeleza mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya kwa kupitia kauli mbiu ya Jenga hospitali kwa sh 1000.
Ukaguzi unaendelea
Wanaangalia baadhi ya miundo mbinu inavyoanza kuharibika kwa kuwa hospitali hiyo imeanza kujengwa mwaka 2008.
0 comments:
Post a Comment