Dc Serengeti Nurdin Babu watatu kutoka kulia akiwa na baadhi ya viongozi wa wilaya hiyo baada ya kufanya ziara ya kustukiza kwa lengo la kufuatilia kazi ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Natta kupitia fedha zaidi ya sh 400 mil zilizotolewa na serikali.
Anasisitiza ujenzi mzuri na kuwa hawatawavumilia mafundi na wasimamizi watakao kwenda kinyume na masharti yaliyowekwa.
Mafundi wakiendelea na kazi
Akina mama hawakubaki nyuma
Hongera serengeti media centre crew kwa habari motomoto zenye kukidhi vigezo,professionalism starts here
ReplyDeleteAfya njema huenda ikawa kigezo cha kwanza katika maisha ya binadamu shukrani za dhati ziwafikie viongozi wa serikali, wananchi na jamii kwa ujumla kwa kuonesha kuguswa na ukosefu wa kituo cha kutolea huduma za afya katika kijiji cha Natta na kujitoa kwa kila mmoja kadri ya uwezo wake katika ushiriki wa ujenzi wa kituo hicho_SERENGETI SHALL NEVER DIE.
ReplyDelete