|
Waziri wa Kilimo na Ushirika Dk Charles Tizeba amesisitiza kilimo cha pamba kisasa ili kuwaweza kupata mapato mazuri kuliko wanavyofanya hivyo sasa hivi.akizungumza na baadhi ya wakulima wa kitongoji cha Nyakitono na kijiji cha Makundusi wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara,amewataka kuhakikisha wanaunda vyama vya ushirika ili waweze kunufaika na pembejeo na uuzaji wa pamba zao. |
Anasisitiza kuzingatia utaalam
Wananchi wakifuatilia kwa makini maagizo ya Waziri Tizeba
0 comments:
Post a Comment