Fahari ya Serengeti

Wednesday, December 21, 2016

POLISI FC YAFUTA UTEJA KWA MAGETA FC YAIBAMIZA 7-6

WACHEZAJI WA  TIMU YA POLISI FC MUGUMU SERENGETI WAKISHANGILIA BAADA YA KUIBAMIZA MAGETA FC KWA PENATI 7-6 NA KUBEBA KOMBE LILILOANDALIWA NA IMARA FOUNDATION NA RIGHT TO PLAY
 Zawadi mbalimbali zilitolewa kwa washindi kwenye Bonanza la kuhusu haki za watoto wa kike na kupinga ukeketaji



 mshike mshike






0 comments:

Post a Comment