Fahari ya Serengeti

Thursday, December 29, 2016

BODABODA KIJIWE MAMA MUGUMU WACHANGIA DAMU

 Bodaboda wa Kijiwe Mama Mjini Mugumu wilayani Serengeti wakipata maelezo toka kwa kaimu mratibu wa damu salama Jamhuri Kabati umuhimu wa kuchangia damu na hitaji lake katika hospitali Teule ya Nyerere .
 Wannashiriki kufanya usafi kabla ya kuchangia damu
 Usafi unaendelea
 Wanajioroshesha



 Kamanda Pareso naye ni miongoni mwa wadau wa uchangiaji damu
 Wakitoka hospitali baada ya kuchangia unit 28 za damu
 Baada ya kuchangia soda zilinyweka
 Anachangia damu

0 comments:

Post a Comment