Fahari ya Serengeti

Saturday, December 31, 2016

WAZUIA MSAFARA WA NAIBU KWA MABANGO

Wakazi wa Kijiji cha Nagusi wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wamezuia msafara wa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo Makani wakiwa na mabango yenye ujumbe wa tembo,Njaa na kuwasilisha kilio chao,hata hivyo amekiri kuwa wakazi wa wilaya hiyo wanapata madhara makubwa...

Thursday, December 29, 2016

WANALAANI UKEKETAJI

...

BODABODA KIJIWE MAMA MUGUMU WACHANGIA DAMU

 Bodaboda wa Kijiwe Mama Mjini Mugumu wilayani Serengeti wakipata maelezo toka kwa kaimu mratibu wa damu salama Jamhuri Kabati umuhimu wa kuchangia damu na hitaji lake katika hospitali Teule ya Nyerere .  Wannashiriki kufanya usafi kabla ya kuchangia damu  Usafi...

Wednesday, December 28, 2016

BUSAWE SERENGETI WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO

Diwani wa Kata ya Busawe wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Ayubu Makuruma kushoto akitoa ufafanuzi wa miradi waliyotekeleza bila fedha ya serikali ikiwemo ujenzi wa Kituo cha afya na vifaa vyake chenye thamani ya zaidi ya sh 200 mil,ujenzi wa ofisi ya kijiji na kata yenye thamani...