Wajumbe wa Bawacha wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa kwenye ukumbi kabla ya uchaguzi wa viti maalum
wanasubiri kuanza kupiga kura
Catherine Ruge akiomba kura ,alichaguliwa ubunge viti maalum kutoka jimbo hilo kwa kura 111
Ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini
Msimamizi wa uchaguzi wa ubunge jimbo la Serengeti akitoa utaratibu
Mwenyekiti wa chadema wilaya Manawa Saguda
Akitoa utaratibu
wanachama wakiwa nje ya ukumbi wa kanisa katoliki Mugumu kwa ajili ya kuingia
Wajumbe walipokuwa wakimaliza kupiga kura wanaenda kura,hapo wamejipanga kwa ajili ya chakula
wanapiga kura
wagombea wakiwa wameshikilia namba zao
Marwa Ryoba baada ya kuibuka mshindi
Anapongezwa
Msimamizi akihitimisha mchakato huo
Msimamizi msaidizi akitoa nasaha
Zoezi la kuhesahu likiendelea
Nimeshinda ,hongereni wajumbe anaonekana akisema Ryoba
Wanachama wanashangilia ushindi wa Ryoba
Joh Mrema aliyepata kura moja akishukuru wajumbe
Wagombea wakiwa pamoja ,hata hivyo Ramso Rutiginga alikimbia matokeo
Mambo yalikuwa kama hivyo
Hongereniii
0 comments:
Post a Comment