Bidhaa mbalimbali zinapatikana kwenye mabanda yaliyoko kwenye maonyesho ya Serengeti Festival Cultural viwanja vya Right To Play mjini Mugumu wilaya Serengeti Mkoa wa Mara.
Asali nzuri na yenye ubora inapatikana kwenye banda hilo la kikundi cha Bonchugu kinachosaidiwa masuala ya kitaalam na kiufundi na Frankfurt Zoological Society.
Chuo cha Utalii Serengeti Sietco kwa kushirikiana na hoteli ya Four Season nao hawakubaki nyuma kutangaza bidhaa mbalimbali wanazozalisha.
Kila mmoja anazunguka kuangalia bidhaa mbalimbali.
Chuo cha Utalii cha Serengeti wanaendelea kutangaza bidhaa wanazozalisha.
Mambo yanaenda yakiongezeka
Kikundi kutoka wilaya ya Butiama kinaonyesha bidhaa mbalimbali wanazozalisha
Nguo za batiki na vitambaa za vyama vya siasa unapata hapo kama unavyoona.
Vitu mbalimbali vya asili na kisasa unapata hapo.
Masai nao hakubaki nyuma
Kampuni ya Acacia Nyamongo wao walikuwa na teknolojia ya kisasa ya kuvuta vumbi katika maeneo ya kazi.
Maelezo yanatolewa kwa wananchi .
Burudani kutoka makabila mbalimbali zinaendelea
Hao ni wasanii wakisubiri mwongozo ili waweze kuwaburudisha watu waliohudhuria.
Sisi ni Masai bana ni miongoni mwa burudani zilizopo
Asali asali asali
Ngamia kwa ajili ya kupanda walikuwepo.
Burudani kama hizo zinaendelea
Mmasai anatamani kupanda ngamia
0 comments:
Post a Comment