Fahari ya Serengeti

Friday, July 31, 2015

CHANJO YA KICHAA CHA MBWA

 Baadhi ya watoto wakiwa wamekaa na mbwa wao wakisubiri wataalam kwa ajili ya chanjo ya kichaa cha mbwa zoezi limefanyika kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mugumu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara.  Wanasubiri  Kila mtu na mbwa wake  Kama ilivyokuwa wakati...

Thursday, July 30, 2015

GIZ YATOA VIFAA KWA HALMASHAURI YA SERENGETI

Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Naomi Nnko akiwa na wataalam wa halmashauri hiyo wakipokea msaada toka shirika la Kijermani (GIZ)linaloshughulika na masuala ya maliasili katika halmashauri hiyo Mkurugenzi wa shirika la GIZ Afrika Mashariki...

CHUO CHA UTALII SERENGETI

Meneja wa Sabora iliyoko chini ya Kampuni ya Singita Grumeti Reserves na Fund wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Wilson Ogembo akifungua jengo la Utawala chuo cha Utalii Serengeti(SETCO)ambalo kampuni hiyo ilichangia sh 19.5 milioni,anayepiga makofi ni Kaimu Mkuu wa chuo hicho...

Saturday, July 25, 2015

SINGITA GRUMETIRESERVES NA FUND YATOA VIFA VYA AFYA NATTA

Mganga wa zahanati ya Kampuni ya Singita Grumeti Reserves na Fund iliyoko Kata ya Natta wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Francis Muruthi akitoa taarifa fupi kabla ya kukabidhi vifaa vya afya kwa kituo cha afya cha Natta. Viongozi mbalimbali wa serikali na Kampuni hiyo...