Fahari ya Serengeti

Monday, January 5, 2015

WENYEVITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MUGUMU WAAPISHWA




 BAADHI YA WENYEVITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MUGUMU WILAYA YA SERENGETI WAKIJAZA FOMU ZA VIAPO VYAO
 TARATIBU ZINAENDELEA
 BAADHI YA VIONGOZI WA VYAMA WALISHIRIKI KUSHUHUDIA ZOEZI LA UAPISHAJI
WANASAINI VIAPO
 HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO MUGUMU SERENGETI IRONI PONELLA AKITOA MAELEKEZO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWAAPISHA
 WANASOMA KAMA WAMEANDIKA VIZURI

 WANAAPA KUWA WATIIFU NA WAAMINIFU IKIWA NI PAMOJA NA KUTUNZA SIRI ZA SERIKALI.
 ISHARA YA KUANZA KAZI
 KIAPO KINAENDELEA

 WENYEVITI 23 WAMEAPA KUMI CCM,CHADEMA 10 NA CUF 3
 MWENYEKITI WA MTAA WA BOMANI NAYE ANAAPA




 WANAWASILISHA FOMU ZA VIAPO MARA BAADA YA KUSAINI
MWANASHERIA WA HALMASHAURI HIYO TUMAINI NYAMHOKYA AKIKUSANYA FOMU ZA VIAPO ILI ZISAINIWE NA HAKIMU

0 comments:

Post a Comment