Fahari ya Serengeti

Sunday, January 4, 2015

UMOJA WA MADHEHEBU WAZIKUTANISHA KWAYA MBALIMBALI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA

 KWAYA YA KANISA LA KMT MUGUMU WILAYA YA SERENGETI IKIHUBIRI KWA NJIA YA KUIMBA WAKATI WA IBADA YA UMOJA WA MADHEHEBU KWA AJILI YA IBADA YA MWAKA MPYA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI
 MWAKA YA KMT
 KWAYA YA BIKRA MARIA MTOTO WA MUNGU KANISA KATOLIKI MUGUMU WAKIIMBA
 KWAYA YA ANGLIKANA WAKIIMBA
 KANISA LA ANGLIKANA




 KWAYA YA MTAKATIFU FRANSISCO WA ASIZI KANISA KATOLIKI MUGUMU

 KWAYA YA  AIC MUGUMU

1 comment: