AFISA MTENDAJI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO WAMUGUMU -SERENGETI MAGINA NYIGANDA AKITOA UFAFANUZI NAMNA YA UPIGAJI KURA.
WAJUMBE VITI MAALUM WA MAMLAKA HIYO WAKILA KIAAPO KABLA YA KUANZA UCHAGUZI.
TUMAINI NYAMHOKYA MWANASHERIA WA HALMASHAURI AKIONGOZA...
Friday, January 30, 2015
Tuesday, January 27, 2015
Mmoja afa wanne wajeruhiwa
mmoja wa majeruhi katika ajali iliyohusisha gari la kampuni ya Grumet Fund wakati wanatoka kazini ,mlango wa roli lililokuwa limewabeba ukafunguka ,mmoja amekufa na wanne wako hospitali Teule ya wilaya ya Serengeti akisaidia na ndugu zake ,hata hivyo amepelekwa hospitali...
USAFIRISHAJI MIZIGO
NG'OMBE WAKIKATIZA MJINI MUGUMU WILAYA YA SERENGETI WAKIWA NA SHEHENA YA VITI NA BIA,TOFAUTI NA KULIMA HUTUMIKA PIA KUSOMBA MIZIGO
USAFIRISHAJI
...
Mmoja afa wanne wajeruhiwa ajali ya roli
Majeruhi Mussa Ramadhani mkazi wa kijiji cha Makundusi wilaya ya Serengeti akiwa hospitali Teule ya wilaya ya Nyerere akiuguza majeraha kufuatia ajali ya roli walilokuwa wamepanda la kampuni ya Singita Grumeti kufunguka mlango wa pembeni wakati likiwa mwendo kasi na...
Sunday, January 25, 2015
RIPOTI MAALUM: Wanafunzi shule ya msingi washiriki ujangili
v\:* {behavior:url(#default#VML);}
o\:* {behavior:url(#default#VML);}
w\:* {behavior:url(#default#VML);}
.shape {behavior:url(#default#VML);}
Normal
0
false
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...