Dc Serengeti Nurdin Babu watatu kutoka kulia akiwa na baadhi ya viongozi wa wilaya hiyo baada ya kufanya ziara ya kustukiza kwa lengo la kufuatilia kazi ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Natta kupitia fedha zaidi ya sh 400 mil zilizotolewa na serikali.
Anasisitiza...
Wednesday, March 21, 2018
WANAHITAJI MEZA YA KUUZIA VYAKULA
Baadhi ya wauza viazi ,matunda na mboga nje ya soko la Mugumu wilaya ya Serengeti jioni hulazimika kutandika chini bila kuzingatia mahitaji ya kiafya,hata hivyo wanaomba Mamlaka ya mji mdogo kuharakisha ujenzi wa miundombinu ya eneo maalum la kutolea huduma hiyo muhimu...
UANDIKISHAJI WA VYETI VYA KUZALIWA
Uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa ofisi ya afisa mtendaji wa kata ya Stendi Kuu wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara ukiendelea kama inavyoonekana.
Wananchi wakisubiri huduma ya kuandikisha watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano
Wanasubiri huduma
...
NGARIBA AMWAGA MANYANGA
Ngariba Esther Bhoke mkazi wa Kitongoji cha Nyamihuru Kijiji cha Kitarungu kata ya Nyansurura wilaya ya Serengeti amebwaga manyanga na kusalimisha mikoba yake ambayo imeteketezwa hadharani chini ya Mchungaji wa kanisa la Kmt Mugumu Cliford Msyangi na kushuhudiwa na watu...
Saturday, March 17, 2018
WAZIRI WA KILIMO AHIMIZA KILIMO CHA KISASA
Waziri wa Kilimo na Ushirika Dk Charles Tizeba amesisitiza kilimo cha pamba kisasa ili kuwaweza kupata mapato mazuri kuliko wanavyofanya hivyo sasa hivi.akizungumza na baadhi ya wakulima wa kitongoji cha Nyakitono na kijiji cha Makundusi wilaya ya Serengeti Mkoa...
Thursday, March 8, 2018
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WAZEE WA MILA NA NGARIBA WAONYWA
Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara akitoa maelezo kabla ya kumkabidhi Ngariba Mstaafu Christina Marwa cherahani katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani yaliyofanyika kijiji cha Nyansurura,jumla ya vyerahani vinne vimetolewa na shirika la Matumaini...