Watu wawili wamekufa na mmoja kunusurika baada ya kuangukiwa na kifusi wakati wakichimba dhahabu katika kijiji cha Merenga kata ya Nyansurura wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara.
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa vifo na majeruhi aprili 15 majira ya saa 3 asubuhi katika kitongoji cha Senta kijijini hapo mwaka huu ,baada ya kifusi cha udongo kuwafukia wakati wakichimba dhahabu katika machimbo yaliyoanzishwa kienyeji na wananchi.
Saturday, April 15, 2017
Home »
» WAWILI WAFA NA MMOJA KUNUSURIKA WAKATI WAKICHIMBA DHAHABU
0 comments:
Post a Comment