Fahari ya Serengeti

Thursday, April 13, 2017

WAOSHWA MIGUU ALHAMISI KUU

 Aliondoka chakulani ,akaweka kando mavazi yake,akatwaa kitambaa ,akajifunga kiunoni.Kisha akatia maji katika bakuli,akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu,na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga,Yuaja kwa Simoni Petro.Huyo akamwambia ,Bwana ,Wewe wanitawadha miguu mimi?.
Yesu akajibu,akamwambian,Nifanyalo wewe hujui sasa,lakini utalifahamu baadaye.
Petro akamwambia ,Wewe hutanitawadha miguu kamwe.Yesu akamwambia ,kama nisipokutawadha ,huna shirika nami. YOHANA 13:5-17.


 Misa ya alhamisi kuu kanisa katoliki Mugumu Serengeti
 Waumini kumi na mbili wameoshwa miguu kama kumbukumbu ya siku Yesu alivyoandaa kalamu kwa wanafunzi wake.














0 comments:

Post a Comment