Fahari ya Serengeti

Saturday, April 8, 2017

MKUU WA WILAYA YA SERENGETI AONGOZA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI

 Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu kulia akiongoza wananchi kufanya mazoezi ya viungo katika uwanja wa Sokoiner ikiwa ni utekelezaji wa agizo la  Makamu wa Rais la kila jumamosi ya pili ya mwezi ni ya mazoezi ili kuepuka magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa kama kisukari na moyo








 Hata watoto wameshiriki kama inavyoonekana
 Kila mmoja alijaribu kufanya zoezi kulingana mwili na uwezo wake.
 Ni mwendo wa kuinama kama inavyoonekana
 Kamanda wa Polisi wilaya ya Serengeti Mathew Mgema kulia akiwa katika mazoezi ambayo anadai kwake ni mambo ya kila siku
 Mbwembwe mbalimbali zilikuwepo
 Mazoezi mazoezi






0 comments:

Post a Comment