Paroko wa Kanisa Katoliki Mugumu Alois Magabe akibariki matawi kabla ya kuanza maandamano kutoka uwanja wa Sokoine kuzunguka Mjini hadi Kanisani.
Waumini wengine wakiendelea kuchukua matawi kama inavyoonekana.
Neno la Mungu lilisomwa ikiwa ni mwanzo wa Misa ya Jumapili ya Matawi.
Kila mmoja alipata matawi na kuyapeperusha juu kama matoto ya Mayahudi wakati Yesu anaingia Yerusalemu
Kila mmoja akishangilia
Mambo yanazidi kuongezeka
Pokeeni baraka
Maandamano yanaanza kuelekea kanisani.
Maandamano yanaendelea
Wauza barafu nao walikuwa jilani na kanisa wakivizia fedha za sadaka za watoto
Wakikaribia kanisani,kwaya zikihanikiza kwa sauti laini zenye kupenyeza ujumbe
Hatimaye waliingia kanisani na misa kuanza
Sunday, April 9, 2017
Home »
» JUMAPILI YA MATAWI YAFANA KANISA KATOLIKI MUGUMU SERENGETI
bhfh
ReplyDelete