Katekista Anthony Marwa wa Parokia ya Mugumu wilaya ya Serengeti kushoto akiwa na baadhi ya vijana wa TYCS toka Serengeti Sekondari na Chuo cha Ufundi cha Chipuka wakipanda miti kwa ajili ya kuendelea kutunza mazingira ya kanisa ,kazi hiyo wameifanya baada ya kumaliza semina ya siku tatu.
Baadhi ya viongozi wa Parokia ya Mugumu na walimu ambao ni walezi wa TYCS.
Wajumbe wa TYSC wakifuatilia taarifa kutoka kwa viongozi wa Parokia na walezi wa matawi yao.
TYCS wakipanda miti
Mwenyekiti wa kamati ya Litrujia Parokia ya Mugumu akitoa nasaha kwa vijana wa TYSC wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya vijana hao,amewataka wawe nuru kwa wenzao na wautumie vema ujana wao kwa ajili ya kumtukuza Mungu.
Wana TYCS wakati wa kuhitimisha mafunzo yao.
Wanachukua miti kwa ajili ya kwenda kupanda maeneo ya Kanisa.
Utunzaji mazingira.kwa taarifa zaidi tembelea whatsapp,serengetimediacentre