Mshambuliaji wa timu ya Mageta Fc mwenye jezi nyekundu akimtoka mlinzi wa timu ya Bokore Fc wakati wa mchuano wa ligi ya Umoja kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Mjini Mugumu wilayani Serengeti,Mageta waliwashikisha adabu Bokore kwa kuwachabanga magoli 5-0
Wachezaji wa timu ya Bokore Fc wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wao wakati wa mapumziko.
Wanapata nasaha ,hata hivyo waliambulia kichapo chja magoli 5-0
Ni mshike mshike kipa wa Bokore Fc anawahi mpira hukummshambuliaji wa Mageta Fc akiwa tayari kwa lolote.
Saturday, July 23, 2016
Home »
» MAGETA FC YAZIDI KUFANYA MAANGAMIZI YAIBAMIZA BOKORE FC MABAO 5-0 LIGI YA UMOJA SERENGETI
0 comments:
Post a Comment