Timu ya Kibeyo Fc ikimenyana na Burunga Fc katika ligi ya Umoja Cup iliyoandaliwa na Serengeti Media Centre,Magoiga na Mageta mshindi wa Kwanza anapata Ng'ombe,wa pili mbuzi na wa tatu Mpira,katika mtonange huo Kibeyo waliibuka washindi kwa magoli 2-0.
Wednesday, July 20, 2016
Home »
» LIGI YA UMOJA CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO UWANJA WA SOKOINE MUGUMU SERENGETI
0 comments:
Post a Comment