Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Sophia Chamliho akisoma taarifa ya maendeleo ya shule hiyo.
Wafanyakazi wa Serengeti Serena Safari wakiangalia maktaba ya shule hiyo iliyojengwa na Haki Elimu.
Maktaba hiyo ina vitabu vya kiada na ziada vikiwemo vya sekondari imejengwa na Haki elimu.
Dc akisalimia na staf wa Serengeti Serena Safari baada ya kufika shule ya Msingi Mugumu B kwa ajili ya kukabidhi msaada huo.
Erick Nyora akielezea jambo ,
Mkuu wa wilaya akikagua mazingira ya shule hiyo kabla ya kuanza shughuli,kulia ni meneja msaidizi wa Serengeti Serena Safari Ongiri,kushoto ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Mary Chamuliho.
Mwalimu huyo anaelezea kukwama kwa jengo hilo ambalo linachangiwa na Haki elimu na kuwa upande wa jamii mwitikio ni mdogo.
Wanaendelea na ukaguzi wa maeneo huku wakipata taarifa toka kwa mwalimu mkuu.
Dc anasaini kitabu cha wageni ili shughuli iweze kuanza
Baadhi ya wanafunzi wanufaika na msaada huo wakiwa wamekaa na baadhi ya wazazi wao. |
Mkutubi wa shule hiyo akielezea matumizi ya maktaba yao kwa wageni mbalimbali.
Ibrahim anaelezea sababu za wao kusaidia kundi hilo kuwa ni kuunga juhudi za serikali za kutoa elimu bure ,wao wanaona kusaidia sare kutawapunguzia baadhi ya wazazi makali na watoto watasoma.
Zawadi zikiwa zimefungwa ambazo ni sare mbili mbili ,sweta na viatu.
Pokea zawadi na usome sana
Staff wa Serena wakisimamia zoezi la ugawaji
Dc anajiridhisha kwa kufungua kuona kilichomo ndani kabla ya kugawa
Picha ya pamoja
Anatoa shukrani kwa msaada waliopata
Anampongeza
Baada ya kugawa msaada huo walikata keki ya mwaka mpya
Wanakata keki
Ni wakati wa kulakeki
0 comments:
Post a Comment