Mwalimu wa darasa la nne shule ya Awali,Msingi na Sekondari ya Twibhoki wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Thobias Magesa akimpongeza Frank Mugeta(12)aliyeongoza kitaifa mtihani wa darasa la nne mwaka 2015,ikiwa ni mwendelezo wa shule hiyo kufanya vizuri kwenye mitihani mbalimbali ya kiwilaya,kimkoa na kitaifa.
HONGERA SANA
Thursday, January 21, 2016
Home »
» MWANAFUNZI TWIBHOKI ANG'ARA KITAIFA DARASA LA NNE
0 comments:
Post a Comment