Fahari ya Serengeti

Saturday, January 30, 2016

WALIMU WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA WARATIBU ELIMU KATA WATAKIWA KUTUMIA FEDHA ZILIZOTOLEWA KWA KUZINGATIA MWONGOZO WA SERIKALI

 Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Naomi Nnko akisisitiza walimu wakuu na waratibu elimu kata kutumia fedha zilizotolewa kwa kuzingatia miongozo ya serikali,atakayekiuka atachukuliwa hatua kali,kushoto ni afisa elimu wilaya William Mabanga na kulia ni Das Cosmas Qamara





 Kamanda wa Takukuru wilaya Emmanuel Liguda akitoa ufafanuzi kwa walimu kuhakikisha wanafanya kazi kwa uadilifu.

 Mratibu wa Tasaf wilaya Nancy Nzota akielezea jinsi mpango huo ulivyosaidia kuongeza mahudhurio ya wanafunzi.










0 comments:

Post a Comment